TYEC Pics





TYEC haikuacha kuwatambua na kuwatembelea baadhi ya viongozi waliotetea uhuru, uluinzi na usalama wa nchi yetu. pichani ni baadhi ya wana TYEC walipo mtembelea General Sam Sarakikya nyumbani kwake Novemba 2013.















No comments:

Post a Comment